Friday News
@fridaynews1397
구독자
조회수
동영상
API
1K
실시간 YouTube 구독자 수 카운터
Loading Advanced Analytics...
Friday News
MUONGOZO WETU
FRIDAY NEWS chaneli inayojikita katika utoaji wa tarifa mbalimbali za kimichezo, burudani na habari za kitaifa na kimataifa pamoja na habari za watu mashuhuri katika muziki, filamu, mpira vichekesho na udaku nk.
TUNAZINGATIA YAFUATAYO
1. Kanuni na sheria za baraza la sanaa (BASATA).
2. Maadili na utamatuni wa mwafrika hasa ya watanzaniaa.
3. Kuripoti habari za ukweli na uhakika.
4. kuto toa habari za upotoshi, uchochezi, udini, ukabila nk.
MUONGOZO WA WAFUATILIAJI (SUBSCRIBERS)
1. mtu yoyote anauwezo wa kuchangia mawazo yoyote.
2. tuna uhuru wa kufuta maoni ya matusi, uchochezi nk.
3. mfuatiliaji anao uhuru wa kusambaza na kupakua.
4. mfuatiliaji anaruhusiwa kukosoa na kusifia habarizetu..
5. mfuatiliaji kwetu ni kama rafiki na ndungu.
Embed
YouTube 구독자 수, 조회수, 크리에이터 비교, 마일스톤을 실시간으로 추적하고 사용자명을 빠르게 검색하세요.
동영상
Nandy ashindwa kuvumilia na kurushiana maneno na mashabiki baada ya kuichamba picha yake hii tazama
Uploaded
23
조회수
4
Likes
0
Comments
About RealtimeSubCount.com
YouTube 구독자 수, 조회수, 크리에이터 비교, 마일스톤을 실시간으로 추적하고 사용자명을 빠르게 검색하세요.